AFCON


Baada ya juzi timu ya taifa ya Ghana kuaga mashindano ya AFCON 2021 , leo timu ya taifa ya Algeria imeweza pia kuaga mashindano baada ya kufungwa magoli matatu kwa moja dhidi ya Ivory coast
 

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

JIFUNZE NAMNA YA KUPIKA TAMBI

JICHO NDANI YA QATAR