JICHO NDANI YA QATAR
Hawa Ecuador walitoa sare na wababe wa South America , hawa ndio wamefuzu mbele ya Chile ya kina Vidal na Sanchèz.... kiukweli Qatar walikuwa hawana namna nyingine kwa jinsi Ecuador walivyokuwa wanacheza "Total Dominace". Nini kingine Qatar wangefanya zaidi ya hapo? , walikutana na Ecuador ambayo ilikuwa bora kila eneo la uwanja maji marefu kwa Qatar.... Ecuador walikuwa na Back 3 wakati wanashambulia (Wa 3 nyuma then Caicedo anakuwa mbele yao kutengeneza pembe tatu , alafu mawingback wanatanua uwanja zaidi kufungua njia za kupokea mipira , ilikuwa rahisi kwao kutokaka na Qatar wakati wanaenda kupress walikuwa na wachezaji wawili eneo la mbele ngumu kutokana Ecuador wanawa out numbers Qatar ilikuwa 2 vs 4 .... Back 3 + DM rahisi kwa Ecuador kusogea juu. . Ecuador wakati wanaenda kushambulia walipata nafasi kubwa kwenye nusu ya mpinzani , kutokana na Qatar kutoweka presha kwenye mpira na kwa mpinzani , kitu ambacho kiliwafanya Ecuador wapate space kubwa pembeni mwa uwanja na ...